The Jambo Song

The Jambo song, as taught by Liberate Minja Jambo Song (mp3)

Jambo, jambo bwana!
Habari garni? Nzuri sana!
Wageni mwakaribishwa,
Kilimanjaro, hakuna matata.

(repeat)

Nawageni wetu – hakuna matata.
Tembea polepole – hakuna matata.
Mtafika Uhuru – hakuna matata.
Wala msiogope – hakuna matata.

Rough (very) translation

Hello, hello sir!
How are you? Very well!
Guests – you are welcome.
In Kilimanjaro there is no problem.

(repeat)

Our guests – no problem.
Walk slowly – no problem.
We’ll all arrive at Uhuru – no problem.
Don’t be afraid – no problem.